Pagina's

HARUSI YA LUCY KOMBA YAKUMBWA NA MIKOSI KIBAO TANZANIA


Harusi wa Star wa Filamu inchini Tanzania Lucy Komba imesemekana kupatwa na mikosi iliyoikumba harusi yenyewe. Ndoa ya Star huyu na mzungu wake kutoka Denmark ilifungwa jumamosi iliyopita katika kanisa la Roman Katoliki Parokia ya Mtakatifu Benedict maeneo ya Kurasin bandari jijini Dar.



























Wana harusi ao pamoja na wasindikizi wao walikwenda kwenye kisiwa kimoja kiitwacho kisiwa cha Bongoya. Walipopanda boti kuvuka mto uho ili kufika mahali walipokuwa wanelekea, walipata mkosi wa pepo kuwakumba ndani ya boti hilo na kutumbukia ndani ya maji na kuokolewa na waogeleaji mahiri katika mto uho. Baada ya mkasa uho Lucy alisema " jamani sijuwi balaa ghani ihi , yaani tumedumbukia kwenye mto, manguo na viatu vyote vimelowa na simu yangu pia imeingia kwenye maji, nashukuru Mungu sababu tumeokolewa na tuko salama. 


Wawili ao waliendelea na mpango wao na kuletewa manguo mengine na kushika picha zao kama walivyopanga.
Baada ya kutoka huko Lucy alisema kwamba walikuwa njiani kuelekea kwenye kituo cha mayatima ili kwenda kula nao kwa pamoja. Walipokuwa njiani walishtukia gari moja likiwafuata huko nyuma na moja kwa moja likaja kugonga gari lingine ambalo lilikuwa kwenye msafara wake. Wakatoka nje ma baunsa na mwanamke mmoja wakaja kuwafanya fujo na kuwapora camera na baadaye kuondoka kwa mwendo wa kasi na ghari lao. Lucy alisema akujuwa watu wale walikuwa wakina nani, kama walitumwa ao yaani akuwaelewa kabisa.




























Mbali na matatizo yote hayo sherehe hiyo iliendelea na kuuzuriwa na ndugu jamaa na marafiki na pia wageni kutoka serekalini walikuwa katika sherehe hiyo.
Hivyo hivyo sherehe hiyo ilikuwa na vituko vya kutisha tu kama vile watu wa karate kutoa salamu zao za kikomando, mtu wa mazingaombwe ya nyoka, wanenguaji kutoka kampuni ya Bia ya Windhoek kutowa show ya nguvu.
Bwana harusi naye alionesha lakwao pale alipovuliwa viatu na kuvalisha tena kuonesha mila ya kwao ambayo inamaanisha ameagana na ukapera.



Lucy Komba alipata zawadi nyingi sana kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki, na pia baba yake mdogo. Lucy pia alimzawadia mama yake gari aina ya Prado kwa kile alichosema kumshukuru kwa kumlea vizuri mpaka wakati anaolewa







Usikose ku comment Page yetu , Kwajili ya maendeleo ya lugha yetu ya kiswahili ulimwenguni pote. Pia Sikiliza 24 hours Rado Umoja kupitia anwani www.umojaradio.listen2myaradio.com, pia tu contact kupitia Facebook yetu: Umojaradio NGG ao page yetu Umojaradio. Wasiliana nasi pia kupitia email: umojaradiongg@gmail.com